MILIONI 369 KUSAIDIA ELIMU NA AFYA SERENGETI NA BUNDA

Zaidi ya shilingi Milioni 369 zimetolewa na kampuni ya Grumeti Reserves LTD kwa ajili ya kununua vifaa kwa ajili ya Sekta za Elimu, Afya na Maji kwa jamii zinazozunguka mapori ya akiba ya Ikorongo na Grumeti katika wilaya za Serengeti na Bunda mkoani Mara. Msaada huo umetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkataba […] The post MILIONI 369 KUSAIDIA ELIMU NA AFYA SERENGETI NA BUNDA appeared first on Jambo TV Online .