Mashindano Quran yameipa heshima Tanzania

MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Dk Abubakar Zubeir, amesema mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu yanayoandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma yameipa Tanzania heshima kubwa kimataifa. The post Mashindano Quran yameipa heshima Tanzania first appeared on HabariLeo .