TRA yaagizwa usimamizi mizigo ya nje

SERIKALI imeiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuimarisha usimamizi wa mizigo inayoingia nchini kwa ajili ya kusafirishwa kwenda nchi jirani ili kudhibiti ukwepaji wa kodi. The post TRA yaagizwa usimamizi mizigo ya nje first appeared on HabariLeo .