Watanzania waongezeka makumbusho Ngorongoro

IDADI ya Watanzania wanaotembelea Makumbusho ya Jiopaki ya Ngorongoro-Lengai yaliyopo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuongezeka. Makumbusho hayo yalizinduliwa Oktoba 16 mwaka jana na Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango. The post Watanzania waongezeka makumbusho Ngorongoro first appeared on HabariLeo .