SHIRIKA lisilo la kiserikali (NGO) la Nature Tanzania linalojihusisha na uhifadhi wa viumbe hai nchini limemtangaza mbuni kuwa Ndege wa Mwaka 2026 Tanzania baada ya kupata kura 303 zilizopigwa mwaka jana. Ndege wengine waliokuwa wakishindana katika kampeni hiyo ni Tandawala Mkubwa, Kwale Shingo Nyekundu na Southern Hornbill. The post Mbuni ang’ara shindano la ndege wa mwaka first appeared on HabariLeo .