WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Machi 2, 2026, amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu shilingi bilioni 6.3. The post Dk. Mwigulu akagua jengo la mama na mtoto Haydom first appeared on HabariLeo .