Kuelekea siku ya wanyamapori miti zaidi ya 2,700 yapandwa Arumeru

Kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanyamapori duniani yanayofanyika kila mwaka, Machi 3, Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wameendelea na wiki maalum ya shughuli za uhifadhi wa mazingira, ikiwemo upandaji wa miti ya dawa na ya manukato.