Tutuba afunguka kuhusu uuzaji wa dhahabu, thamani ya Shilingi

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupata gawio kubwa kutoka katika taasisi hiyo kutokana na mauzo ya dhahabu inayohifadhiwa, huku ikibainisha imevuka malengo ya kununua kabla ya muda uliopangwa