MSAJILI wa Hazina,Nehemiah Mchechu, amekutana na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Lifezone Metals Limited, Keith Liddell, kujadili maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Kabanga Nickel unaotekelezwa kwa ubia na Serikali ya Tanzania. The post Serikali, Lifezone wajadili Mradi wa Kabanga first appeared on HabariLeo .