Mvua zahatibu barabara, RC Mtambi aomba fedha za dharura

Serikali ya Mkoa wa Mara imeomba Sh16 bilioni kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kugharamia matengenezo makubwa ya dharura ya barabara zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) mkoani humo.