Aliyekuwa DED Simanjiro afariki dunia

Amesema Gunzah ambaye alikuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo mwaka 2021 hadi 2023 amefariki dunia akiwa gerezani Dodoma baada ya kuugua.