Rais Samia apanga, apangua mabalozi

Taarifa ya mabadiliko hayo imetolewa leo Jumatatu, Machi 2, 2026 na Bakari Machumu, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu akimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka.