Samia kuweka jiwe la msingi ujenzi matanki ya mafuta Dar

DAR ES SALAAM:RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho Machi 3, 2026 katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa matenki 15 ya kuhifadhia mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari wa habari leo Machi 2, 2026 na Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa, amesema … The post Samia kuweka jiwe la msingi ujenzi matanki ya mafuta Dar first appeared on HabariLeo .