GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterprises, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kubadili na kuunda upya taswira ya mawasiliano ya simu duniani pamoja na kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa waendeshaji, serikali, biashara na mabilioni ya watumiaji. Tuzo hiyo, ambayo […] The post SUNIL BHARTI ATUNUKIWA TUZO YA MAISHA YA GSMA KWA MAGEUZI YA MAWASILIA appeared first on Jambo TV Online .