Tanzania yaanza hatua kurejesha haki ya mashauri Mahakama ya Afrika

Serikali ya Tanzania imesema ingawa Tanzania ilijiondoa katika Ibara ya 34(6), taarifa njema ni kwamba imeanza kushughulikia changamoto zilizopelekea uamuzi huo, na ipo katika hatua nzuri ya majadiliano ya namna ya kurejea katika utekelezaji wake.