Uvumilivu, bidii, imani vilivyobadili maisha ya Benedicta

Katika jamii nyingi za Kitanzania, ndoto za mtoto wa kike mara nyingi hukwama njiani kutokana na changamoto za kiuchumi, mila na mitazamo potofu.