FCC kuongeza uelewa haki, wajibu

DAR ES SALAAM: TUME ya Ushindani (FCC) imetangaza kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki ya Mlaji Duniani kwa kuendesha kampeni maalumu ya utoaji elimu kwa walaji na wafanyabiashara ili kuongeza uelewa wa haki na wajibu wao katika soko. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Khadija Ngasongwa … The post FCC kuongeza uelewa haki, wajibu first appeared on HabariLeo .