Waziri Mkuu apokea kero 305 Mbulu, aagiza mfumo wa uwajibikaji kila mwezi
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amepokea jumla ya kero na hoja 305 kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya Mbulu, akiahidi kuanzisha utaratibu madhubuti wa kuzishughulikia kwa wakati na kwa uwajibikaji unaopimika.