WAZIRI NANAUKA AKABIDHI MIKOPO KWA VIJANA MTWARA

Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Athur Nanauka, amekabidhi mkopo wa vijana katika mfumo wa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 140, ambavyo vimewekewa bima. Vifaa hivyo ni pamoja na pikipiki 15, bajaji 5 na mikokoteni ya kubebea mizigo maarufu kama “guta” 5, vitakavyowanufaisha vijana wa Mkoa wa Mtwara,ambapo hatua hiyo ni sehemu […] The post WAZIRI NANAUKA AKABIDHI MIKOPO KWA VIJANA MTWARA appeared first on Jambo TV Online .