Masauni: Serikali imeimarisha ushirikiano kimataifa

ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema serikali imeimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Masauni ameeleza hayo leo Machi 3, 2026 Unguja, Zanzibar wakati akitoa kauli ya Serikali katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira … The post Masauni: Serikali imeimarisha ushirikiano kimataifa first appeared on HabariLeo .