'Kasi iongezwe matumizi nishati safi kupikia, uhifadhi mazingira'

Wakati ikiadhimishwa siku ya mazingira Afrika, Serikali imetaka kuongeza kasi ya kuhifadhi mazingira kwa kupanda na kutunza miti na udhibiti wa matumizi ya mifuko ya plastiki.