Wafanyabiashara watakiwa kuzifahamu sheria za ushindani

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Sempeho Manongi, akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, amewataka wafanyabiashara na wadau wa soko nchini kujielimisha kuhusu sheria za ushindani ili kuepuka changamoto za kisheria zinazoweza kuathiri shughuli zao. Akizungumza Machi 3, 2026 wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau jijini Dar … The post Wafanyabiashara watakiwa kuzifahamu sheria za ushindani first appeared on HabariLeo .