Serikali kukamilisha maandalizi mkakati kukabiliana na wanyama wakali

Serikali imesema inaendelea kukamilisha maandalizi ya Mkakati wa Kitaifa wa Kukabiliana na Wanyamapori Wakali na Waharibifu (2025/26–2034/35) pamoja na kufanya tafiti za kimkakati ili kubuni mbinu mpya za kukabiliana na wanyamapori hao, hususan tembo.