SYDNEY Carter ni mmoja wa wanawake waliotengeneza jina kubwa katika ulimwengu wa mpira wa kikapu, si tu kama mchezaji bali pia kama kocha mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya uwanja, pamoja na kwenye mitandao ya kijamii. The post Sydney Carter: Kocha Anayevunja Mipaka Uwanjani first appeared on HabariLeo .