Ripoti: Uandishi wa habari za Afya Afrika unakabiliwa vikwazo

DAR ES SALAAM: RIPOTI ya Mitindo ya Vyombo vya Habari vya Afya Afrika ya 2026 iliyotolewa jijini Nairobi na taasisi ya FINN Partners imesema kuwa uandishi wa habari za afya katika barani la Afrika ukabiliwa na vikwazo vingi huku changamoto za afya ya umma zikiendelea kuongezeka siku hadi siku. Ripoti hiyo iliyotokana na mahojiano na … The post Ripoti: Uandishi wa habari za Afya Afrika unakabiliwa vikwazo first appeared on HabariLeo .