Takukuru Kinondoni yachunguza miradi ya Bilioni 5

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni imefanikiwa kufuatilia matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi miwili ya maendeleo ya miundombinu ya barabara za Nyaishozi, zilizopo Kata ya Bunju, yenye thamani ya Sh. Bilioni 5.1. Akizungumza  jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi mitatu …