Tume ya uchunguzi yakutana na Abdurahman Kinana

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, jana Machi 2, 2026 imekutana na mwanasiasa mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana. The post Tume ya uchunguzi yakutana na Abdurahman Kinana first appeared on HabariLeo .