Mara yapanga bajeti ya Sh488.9 bilioni

Sekretarieti ya Mkoa wa Mara pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani humo zinatarajia kutumia zaidi ya Sh488.9 bilioni katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za sekretarieti ya mkoa na mamlaka za serikali za mitaa.