Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeshauriwa kuongeza nguvu ili kuwavuta Watanzania wanaoishi nje ya nchi kuwekeza katika soko la mitaji na dhamana.