MOROGORO: SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma inawataka viongozi waliopewa dhamana ya kuwaongoza wananchi wawe wazi kuorodhesha mali au rasilimali wanazomiliki. Viongozi hao wa umma wanatakiwa pia kuelezea thamani ya mali hizo na jinsi zilivyopatikana ili kuthibitisha uhalali wa mali wanazomiliki. Katibu Msaidizi wa Sekretarieti ya … The post Viongozi watakiwa kueleza thamani na chanzo mali zao first appeared on HabariLeo .