DAR ES SALAAM: Jopo la mawakili wa Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed, limewaomba wanachama wa chama hicho kuwa watulivu wakati wakisubiri uamuzi wa mahakama katika kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa mali na rasilimali za chama. Kesi hiyo ya madai namba 8323 ya mwaka 2025 inahusu … The post Utulivu watakiwa kesi mgawanyo rasilimali Chadema first appeared on HabariLeo .