Vijana 5,746 waanza mafunzo ya Uanagenzi

SERIKALI imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha sera, sheria na miongozo inayosimamia programu za mafunzo ya uanagenzi, pamoja na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanagenzi nchini. The post Vijana 5,746 waanza mafunzo ya Uanagenzi first appeared on HabariLeo .