Samia Ardhi Kliniki yawafikia wanawake Simiyu

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesogeza karibu huduma za sekta ya ardhi kwa wanawake nchini kupitia Kliniki Maalumu ya Ardhi ijulikanayo kama Samia Ardhi Kliniki. The post Samia Ardhi Kliniki yawafikia wanawake Simiyu first appeared on HabariLeo .