Mradi maalumu kukabili udumavu wazinduliwa mikoa mitatu

GEITA: SERIKALI imezindua Mradi wa Kuimarisha Huduma za Lishe katika mikoa ya Geita, Iringa na Tabora ili kusaidia kupunguza changamoto za udumavu, ukondefu na utapiamulo wa watoto. Mradi huo unatekelezwa chini ya ufadhili wa taasisi ya BWP ya nchini Uingereza kwa thamani ya dola za kimarekani milioni 2 malengo makuu yakiwa ni kuimarisha lishe na … The post Mradi maalumu kukabili udumavu wazinduliwa mikoa mitatu first appeared on HabariLeo .