Handeni Mji kuzindua Jukwaa uwezeshaji wanawake

TANGA; KUELEKEA kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Halmashauri ya Mji Handeni inatarajia kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi ambalo litawaimarisha katika shughuli zao za kujikwamua kiuchumi. Akizungumza kuhusu maadhimisho hayo ambayo yatafanyika Machi 7, 2026 kwa Handeni Mji,  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, amesema uzinduzi huo utafanyika kesho  katika … The post Handeni Mji kuzindua Jukwaa uwezeshaji wanawake first appeared on HabariLeo .