Watuhumiwa 50 wakamatwa kwa tuhuma za wizi, kukutwa na nyara za Serikali

Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 50 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo ya wizi, udanganyifu, dawa za kulevya na kukutwa na nyara za Serikali.