PWANI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo na wabunge kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kuimarisha miundombinu ya usalama, ikiwemo ujenzi wa vituo vya polisi. Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Mradi wa Kituo Kipya cha Polisi chenye hadhi ya daraja B, wilayani Kibiti … The post Serikali yasisitiza ujenzi vituo vya polisi first appeared on HabariLeo .