Takukuru yaokoa vifaa vya mil 51/-ujenzi nyumba ya mwalimu

SHINYANGA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga imeokoa vifaa vya zaidi ya Sh milioni 51.2  ambavyo vilikuwa vitumike kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu wa Shule ya msingi Magongwa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy  alipozungumza na … The post Takukuru yaokoa vifaa vya mil 51/-ujenzi nyumba ya mwalimu first appeared on HabariLeo .