KAGERA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesaidia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukusanya zaidi ya Sh milioni 57 kutoka kwa wafanyabaishara waliokwepa kodi na kuingiza bidhaa bila vibali. Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kagera, Vangisada Mkalimoto ametoa kauli hiyo leo Machi 4, alipotoa taarifa ya utenda kazi wa taasisi hiyo kuanzia Oktoba … The post Takukuru yasaidia TRA kuokoa Sh mil 57 first appeared on HabariLeo .