DAR ES SAAM: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, amesema upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni ajenda ya kimkakati inayochochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Amesisitiza kuwa Shirika la Umeme Tanzania, lina wajibu wa kuhakikisha umeme unapatikana kwa uhakika ili kupunguza gharama za kaya, kuongeza uzalishaji na kuwawezesha … The post Asilimia 80 nishati safi fursa kiuchumi first appeared on HabariLeo .