Kilo 900 za mahindi zakabidhiwa Liwelyangula

SHINYANGA: WANAWAKE manispaa ya Shinyanga wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo kilo 900 za mahidi na sukari kilo 145 katika shule ya msingi Liwelyangula. Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo Mkurugenzi wa Shirika la Rafiki SDO Gerald Ng’ong’a kwa niaba ya wadau waliochangia vyakula hivyo ikiwa amezindua rasmi upatikanaji wa … The post Kilo 900 za mahindi zakabidhiwa Liwelyangula first appeared on HabariLeo .