Alichokisema Kihongosi ukaguzi ujenzi bandari kavu, stendi Kahama

Katika ukaguzi wa stendi ya mabasi Mbulu uliofikia asilimia 40, Kihongosi ametaka vibanda vya biashara vitolewe kwa usawa katika stendi hiyo itakapokamilika inayotarajiwa kuwa na wafanyabiashara 700 ikijumuisha vibanda vya maduka 200.