Jiji la Dar es Salaam limeandika historia mpya ya maendeleo siku ya leo baada ya Mstahiki Meya wa Jiji, Nurdin Billal, kuzindua rasmi mradi wa kisasa wa usimamizi wa taka unaolenga pia uzalishaji wa nishati mbadala. Mradi huo wa kimkakati unalenga kubadilisha changamoto ya taka kuwa rasilimali yenye thamani kwa maendeleo ya jiji. Kupitia teknolojia …