Hamasa yatolewa kuwahimiza wanawake kumiliki ardhi

Idara ya Ardhi Mkoa wa Morogoro imejidhatiti kutoa elimu ya usawa wa umiliki wa ardhi kwa siku sita mfululizo kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Ifakara, ikilenga zaidi kuwafikia wanawake ambao kwa muda mrefu wamekuwa na mwitikio mdogo katika masuala ya umiliki wa ardhi ikilinganishwa na wanaume. Kwa mujibu wa takwimu za kitaifa, wanawake wanaomiliki …