Maofisa elimu wapewa mbinu kuimarisha miundombinu ya nishati safi ya kupikia shuleni

Maafisa Elimu nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na wadau mbalimbali wakiwemo sekta binafsi, mashirika yasiyo ya kiserikali na jamii ili kuwekeza na kuimarisha miundombinu ya nishati safi ya kupikia katika shule. Wito huo umetolewa jijini Arusha na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati, Ngereja Mgejwa, wakati akiwasilisha mada kuhusu …