Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amesema kuwa nishati safi ya kupikia inamkomboa mwanamke na kumpa hadhi na fursa mbalimbali katika jamii. Hivyo amesema katika muktadha wa kitaifa, Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwemo kuhakikisha umeme unafika kwenye maeneo yote ya …