Naibu Waziri Mwinjuma aiagiza JAB kukaza udhibiti wa waandishi ili kulinda hadhi ya tasnia hiyo

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameagiza kuimarishwa kwa udhibiti wa taaluma ya uandishi wa habari nchini ili kulinda hadhi ya tasnia hiyo na kuongeza imani ya umma kwa vyombo vya habari. Akizungumza jijini Dar es Salaam  wakati wa ziara yake katika Ofisi za Bodi ya Ithibati ya Waandishi …