DKT. MIGIRO AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Asha-Rose Migiro, amesisitiza kuendelea kuilinda Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, kwa kizazi kijacho. Dk. Asha-Rose alisema hayo mkoani Pwani, alipofungua kikao cha makatibu wa wakuu wa vyama rafiki Kusini mwa Afrika, uliofanyika chuoni hapo. “Tunapaswa kuilinda shule hii kama nyumba […] The post DKT. MIGIRO AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI appeared first on Jambo TV Online .