Masoko makubwa dunia yatikishwa, DSE yaendelea kujidhatiti

Masoko ya hisa duniani yameonesha hali tete na mabadiliko makubwa tangu kuzuka kwa vita kati ya Marekani, Israel na Iran, hatua hiyo huenda ikawa na athari chanya katika masoko ya Afrika endapo hakutakuwa na mdororo wa uchumi wa dunia.