Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), yatakiwa kuongeza kasi ya urasimishaji wa biashara na kuimarisha mifumo ya kidijitali ili kuchochea ufanisi na ukuaji wa uchumi kwani BRELA ni lango kuu la uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga (Mb), wakati akifungua Baraza la wafanyakazi la BRELA na kuhimiza …